Katibu wa Biashara Susan Auma afanya kikao cha kupiga jeki sekta ya juakali katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    104 views

    Katibu katika idara ya biashara ndogo nchini Susan Auma amezuru kaunti ya Kisii eneobunge la Bonchari na kuelezea matumaini ya kukua kwa biashara na sekta ya jua kali.