Kauli za kumtetea naibu rais Gachagua

  • | Citizen TV
    1,878 views

    Wafuasi wa Naibu Rais Rigathi Gachagua walimtetea kuhusiana na tuhuma zinazomwandama huku Wengi wao Wakimtupia Vijembe Rais William Ruto kwa Kumtenga Peupe Gachagua. Ushawishi wa Gachagua ulidhihirika Mlimani Huku Ubabe wa Kisiasa Kati yake na Wabunge wanaotoka kwenye Ngome yake na ambao wanampinga ukianikwa.