Kaunti kupokea vifaa vya matibabu kutoka KEMSA kulingana na utashi

  • | K24 Video
    33 views

    Kinyume na hali ilivyokuwa hapo mbeleni ambapo KEMSA ilitathmini mgao wa vifaa vya matibabu kwa kaunti, maafisa wa afya kutoka kaunti sasa wana jukumu la kutambua mahitaji ya kiafya ili kupokezwa vifaa vya matibabu kulingana na utashi.