Kaunti ya Baringo ni mojawapo ya kaunti zilizoathiriwa pakubwa na mafuriko

  • | K24 Video
    82 views

    Kaunti ya Baringo ni mojawapo ya kaunti zilizoathiriwa pakubwa na mafuriko ambayo yamesababisha maelfu ya familia kuhama makwao hasa katika maeneo ya baringo kusini. Huku shirika la hali ya hewa duniani likitangaza kuhusu mvua ya El Niño baadaye mwaka huu mwaka huu katika maeneo mengi ya nchi, wakazi wanaoishi katika sehemu za chini zinazokumbwa na mafuriko wamejawa na hofu.