Kaunti ya Bungoma yatoa chakula kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    59 views

    Gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka amezindua rasmi mpango wa lishe kwa wanafunzi wa Shule za chekechea. Mradi huo utawanufaisha wanafunzi 90,750 katika vituo 820 vya ECDE kwa kuwapatia uji spesheli ambapo kila mtoto. Mpango huo ambao pia unahusisha usambazaji wa vifaa vya kujifunzia, ni sehemu ya juhudi pana za serikali ya kaunti kuboresha lishe, na kuhakikisha wanafunzi wanafika darasani.