- 137 viewsDuration: 2:18Idadi ya wanawake wanaopoteza maisha yao wakijifungua imeanza kupungua katika kaunti ya Homa bay. washika dau wa afya wakihimiza wanawake waja wazito hasa katika vijijini kuhakikisha wamepata huduma za hospitali kabla na baada ya kujifungua.