Kaunti ya Homa Bay yaanza kutumia droni kusambaza dawa

  • | Citizen TV
    247 views

    Kaunti ya Homa bay imezindua huduma ya kusambaza dawa kwa kutumia ndege zisizo na rubani au droni. Ndege hizo zinatumiwa kuwasilisha dawa kwa wagonjwa kwenye visiwa vya ziwa victoria na hata katika sehemu za mashinani ambako usafiri ni wa tabu. James Latano na Taarifa ihiyo.