Kaunti ya Homa Bay yakabiliwa na ukosefu wa umeme

  • | Citizen TV
    96 views

    Mji wa Homa bay na viungani mwake umekumbwa na ukosefu wa umeme kwa siku tatu sasa huku wakaazi wakitatizika pakubwa.