Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Homa Bay yazindua makao ya waathiriwa wa jinsia

  • | Citizen TV
    20 views
    Serikali ya kaunti ya Homa Bay imefungua rasmi kituo cha kuwahifadhi waathiriwa wa dhuluma za kijinsia maarufu, Ndhiwa Safehouse , kwa ushirikiano na Shirika la SHOFCO.