- 68 viewsDuration: 1:13Wakazi zaidi ya2,000 wa wadi ya Kanyada Mashariki katika kaunti ya Homa Bay wamepata chanzo cha kuaminika cha maji kufuatia uchimbaji wa kisima uliofadhiliwa na shirika la Shofco. Kisima hicho kinatarajiwa kupunguza changamoto zilizowakumba wakazi kutokana na ukosefu wa maji safi mbali na kuimarisha maisha yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive