Kaunti ya Kajiado yatoa mwongozo wa mipangilio ya ardhi

  • | Citizen TV
    164 views

    Kama una mpango wa kumiliki ardhi Katika kaunti ya Kajiado, ni bora ujifahamishe na mpango mpya wa matumizi yaliyopangiwa ardhi katika sehemu tofauti tofauti ya Kaunti hiyo kabla ya kununua ardhi.Kama njia moja ya kuhakikisha kuwa Sheria hiyo imefuatiliwa wizara ya ardhi Kaunti ya Kajiado pamoja na Nema wamefanya operesheni Kwa ardhi kwenye eneo la Eselenkei.Nancy kering ameandamana Na wao Na kutuandlia