5 May 2026 1:57 pm | Citizen TV 72 views Duration: 1:57 Kaunti ya Kericho imezindua mitambo ya kisasa vya kidijitali vya kufuatilia afya ya watoto wachanga, hatua inayolenga kuboresha huduma na kuokoa maisha katika vituo vya afya katika kaunti hiyo.