Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kilifi yapiga hatua kupambana na dhuluma za kijinsia

  • | NTV Video
    94 views
    Duration: 2:23
    Kaunti ya Kilifi imepata afueni kubwa katika vita dhidi ya dhuluma za kijinsia kufuatia kuzinduliwa kwa kituo cha uokoaji cha Kimbilio Safe House, hifadhi mpya yenye vitanda 48 kwa ajili ya waathiriwa katika eneo bunge la Kilifi Kaskazini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya