26 Nov 2025 1:43 pm | Citizen TV 190 views Duration: 1:36 Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga inajiandaa kuzindua mpango wa kujifunza kidijitali kwa wanafunzi wa elimu ya chekechea (ECDE) kuanzia mwaka ujao.