Kaunti ya Kisii yaimarisha juhudi za kukabili janga la El-Nino

  • | Citizen TV
    148 views

    Wadau mbalimbali kwa ushirikuano na serikali ya kaunti ya Kisii wanaendelea kuweka mikakati ya kukabili majanga huku mvua ya El-Nino ikisubiriwa mwezi huu. Maeneo ya Mugirango Kusini na Bobasi ni miongoni mwa maeneo yanayoshuhudia maporomoko ya ardhi mara kwa mara