Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kisumu yazindua kampeni ya uhamasisho dhidi ya ugonjwa wa selimundu

  • | KBC Video
    29 views
    Duration: 1:51
    Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga, kwa ushirikiano na Hospitali ya Nairobi West na wadau wengine, wameongoza kampeni ya uhamasishaji na uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu jijini Kisumu, kama sehemu ya kampeni ya kitaifa ya mwezi mzima kuhusu ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive