Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Machakos inazindua mpango wa kutathmini thamani ya ardhi na nyumba

  • | Citizen TV
    300 views
    Duration: 3:54
    Kaunti ya Machakos inazindua mpango wa kutathmini thamani ya ardhi na nyumba ili kuwezesha wawekezaji kulipa kodi kulingana na thamani ya nyumba na ardhi zao ili kuwezesha kaunti kutoa huduma bora kwa wawekezaji.