Kaunti ya Mombasa yafanya mabadiliko ya ushuru

  • | Citizen TV
    784 views

    Zoezi la kutoa maoni kuhusu mswada wa fedha na ukusanyaji ushuru limeng'oa nanga hii leo kaunti ya Mombasa. Mswada huo unalenga kubadili ada kwa wafanyabiashara baada ya gavana wa Mombasa abdulswamad sharrif Nassir kusema kuwa Mombasa imegawanywa katika makundi matatu katika mfumo mpya wa ulipaji ushuru.