Kaunti ya Mombasa yazindua mradi wa kilimo cha kisasa wa kima cha shilingi milioni ishirini

  • | K24 Video
    258 views

    Kaunti ya Mombasa imezindua mradi wa kilimo cha kisasa wa kima cha shilingi milioni ishirini mradi unaolenga kuwaimarisha vijana na jamii kuzingatia kilimo cha kisasa