Kaunti ya Nakuru inalenga kupata sehemu kubwa ya mapato yake kutoka kwa Mikutano, mikakati mbalimbali, makongamano na maonesho na sehemu zenye faida kubwa za mchanganyiko wa utalii kote ulimwenguni. Kulingana na mwenyekiti wa bodi ya utalii na mauzo David Mwangi, kaunti hiyo imeorodheshwa kidedea katika masuala ya uchumi wa sekta ya utalii na inanuia kutumia upekee wake kudumisha ushindani kwenye soko la sekta hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive