Kaunti ya Nyamira yatia saini mkataba wa makubaliano na shirika la Practical Action

  • | Citizen TV
    300 views

    Serikali ya kaunti ya Nyamira imetia saini mkataba wa makubaliano na shirika lisilo la serikali la Practical Action, ili kuwafunza vijana.