9 Sep 2025 10:28 am | Citizen TV 139 views Duration: 1:43 Kaunti ya Siaya inatarajiwa kupata mabadiliko makubwa kufuatia uzinduzi wa miradi miwili mikuu inayoendeshwa na serikali kuu.