Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Trans Nzoia yaongeza juhudi na mikakati kabambe ya matibabu kwa wagonjwa wanaougua kifafa

  • | Citizen TV
    106 views
    Duration: 3:34
    Sekta ya afya katika Kaunti ya Trans Nzoia, imeongeza juhudi na mikakati kabambe ya kuboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaougua kifafa. Takwimu kutoka Idara ya Afya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya wagonjwa hao hukabiliwa na changamoto ya kugharamia matibabu kutokana na umaskini.