Kaunti za Pwani zatakiwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanao mwaga maji taka baharini

  • | Citizen TV
    283 views

    Washika dau katika sekta ya mazingira katika pwani ya Kenya wanazitaka serikali za kaunti maeneo haya kuwachukulia hatua wanaomwaga ama kuelekeza maji taka baharini.