- 2,715 viewsDuration: 3:05Miaka miwili baada ya taifa kupokea kitita cha shilingi bilioni saba cha kukablina na mabadiliko ya tabia nchi, jumuiya ya eneo linalopakana na ziwa victoria ambalo ni Nyanza na Magharibi, litaonyesha jinsi fedha hizo zilitumika katika kongamano la kwanza za hali ya hewa. Akizungumza katika kaunti ya Kisumu, gavana wa Kakamega Fernandes Baraza amesema kuwa kongamano hilo litaonyesha miradi iliyofadhiliwa na fedha hizo ikiwemo ujenzi wa mabwawa, upanzi wa miti pamoja na matumizi ya teknolojia inayohusisha vijana.