Kazi ni Kazi I Tunamwangazai Regina ambaye ni Mhandisi

  • | KBC Video
    24 views

    Teknolojia ya kilimo imeleta mabadiliko makubwa ya uzalishaji chakula humu nchini huku sekta hiyo ikiwaajiri watu wengi wanaojitafutia riziki. Kwenye makala ya Juma hili ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anamwangazia Regina ambaye ni Mhandisi anayehusika na utengenezaji wa mashine za kilimo na kusindika nafaka. Tazama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive