Kazi za kitumwa Saudi Arabia

  • | BBC Swahili
    6,070 views
    Ripoti mpya ya shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International inaonesha kuwa wanawake wa Kenya walioajiriwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini Saudi Arabia wanapitia changamoto mbalimbali ikiwemo unyanyasaji wa kingono, kupigwa na hata kunyimwa chakula. Lakini mbali na hayo yote bado idadi kubwa ya vijana hukimbilia katika mataifa hayo ajira. Nini suluhu ya kudumu katika hili? Kwa haya na mengine mengi ungana na @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV saa tatu kamili usiku kwenye ukurasa wetu wa YouTube, BBC News Swahili. #bbcswahili #kenya #kazizandani