KBC yaomboleza | Ibada ya wafu kwa Josephine Adeya yaandaliwa Holy Family Basilica

  • | KBC Video
    116 views

    Familia na marafiki walikongamana katika kanisa la Holy Family Basilica kwa misa takatifu ya kumuaga marehemu Josephine Adeya. Adeya alihudumu kama fundi wa mitambo katika shirika la utangazaji la KBC na alifariki jumatatu wiki iliyopita baada ya kuugua saratani. Adeya alisifiwa kama mfanyikazi mahiri, ambaye alijituma zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #josephineadeya #News #KBC #RIP