Skip to main content
Skip to main content

KCCB imekashifu visa vya fujo makanisani

  • | Citizen TV
    228 views
    Duration: 51s
    Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki limewaonya wanasiasa dhidi ya kufanya kampeni za mapema ambazo wanasema zimesheheni semi zinazotishia umoja na uwiano wa kitaifa. Katika taraifa , maaskofu hao walilalamikia ongezeko la visa vya machafuko na waumini kushambuliwa kanisani na kutaka wahusika wa ghasia zilizoshudiwa kanisani Nyeri kuchukuliwa hatua za kisheria.