- 1,175 viewsDuration: 7:18Katika wiki chache zilizopita, sir Keir amepoteza uungwaji mkono wa wanachama wa chama chake cha Leba bungeni kufuatia masuala kadhaa, ikiwemo kashfa kumhusu Lord Mandelson ambaye alikuwa balozi wa Uingereza nchini Marekani, pamoja na matokeo ya uchaguzi yasiyoridhisha na kupungua kwa ushawishi wake kwa raia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw