KEMSA kusambaza neti katika kaunti mbalimbali nchini ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa malaria

  • | NTV Video
    139 views

    Huku ugonjwa wa Malaria ukiendelea kuwa tisho kwa wakazi wa Kilifi kutokana na hali ya umaskini , serikali kwa ushirikiano na shirika la KEMSA wanaendelea na usambazaji wa neti katika kaunti mbalimbali nchini ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa malaria. ripoti ya uchunguzi wa viashirio vya malaria nchini kenya inaonyesha kuwa takriban wakenya milioni nne wanaugua ugonjwa wa Malaria, huku zaidi ya watu 10,000 wakifa kutokana na ugonjwa huo kila mwaka.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya