Kenya imelazwa na Algeria 3-2 kwenye voliboli ya walemavu upande wa wanaume

  • | Citizen TV
    112 views

    Timu ya taifa ya Kenya ya voliboli kwa walemavu bado ina matumaini ya kufanya vyema licha ya kupoteza mchezo wake wa kwanza kwenye mchuano wa Afrika unaoendelea uwanjani Kasarani hapa Nairobi.