Kenya imepata bilioni 680 kwenye kongamano la COP28 Dubai ili kufadhili miradi ya kawi safi

  • | Citizen TV
    372 views

    Kenya ilipata shilingi bilioni 680 kwenye kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya anga la COP28 kufadhili miradi ya kawi safi. Miradi ambayo inatarajiwa kupunguza gharama ya kawi kama umeme. Hata hivyo, wanaharakati wanaonya kuwa miradi hii itafunga macho mataifa ya bara Afrika dhidi ya fedha wanazohitaji kutatua uharibifu unaoshuhudiwa sasa kupitia mafuriko.