- 2,842 viewsDuration: 3:00Viongozi wa Kenya Kwanza na wenzao wa Serikali jumuishi waliendeleza siasa za kumuunga mkono Rais William Ruto kwa kipindi cha pili cha uongozi. Wakizungumza kule Mumias, Lugari na Budalangi Viongozi hao wameahidi kuwatoa kijasho upinzani katika uchaguzi mkuu ujao.