Kenya Kwanza yaendeleza kampeni Kiatika kaunti ya Kiambu

  • | K24 Video
    110 views

    Naibu rais William Ruto hii leo ameonekana kucheza kadi zake za kisiasa kwa uangalifu wakati akiendeleza kampeni zake katika kaunti ya Kiambu na Murang'a. Ruto anatokwa na jasho la kuunga mkono mgombea ugavana wa chama anachopeperushia bendera ya urais cha UDA, akilazimika kuudhinisha kwa usawa wagombea wa vyama vyote vilivyo ndani ya Kenya Kwanza.