Kenya miongoni mwa mataifa 9 yatakayoanza kutumia sindano mpya ya HIV

  • | Citizen TV
    536 views

    Shirika la afya duniani (W.H.O) limeidhinisha sindano mpya ya dawa ya kujikinga na virusi vya ukimwi. Kenya ni miongoni mwa nchi tisa duniani zitakazoanza kutumia dawa hii ya Lenacapavir mapema