Kenya na Ethiopia wasema wako tayari kuimarisha ushirikiano

  • | VOA Swahili
    461 views
    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed aliwasili nchini Kenya Jumanne na kupokelewa na Rais William Ruto katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa JKIA. Ruto na Ahmed walifanya mkutano wa pamoja kueleza hatua wanazochukua kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Kanda ya video ni hisani ya Ikulu ya Nairobi. #kenya #ethiopia #wazirimkuu #rais #AbbyAhmed #WilliamRuto #voa #voaswahili