Kenya na Iran zatia saini mikataba mitano ya ushirikiano

  • | Citizen TV
    1,184 views

    Serikali ya Kenya na Ile ya Iran leo zimetia saini mikataba mitano ya ushirikiano katika sekta mbali mbali. Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Mwenyeji wake William Ruto katika mazungumzo yao rasmi wameahidi kuimarisha uhusiano wa mataifa hayo mawili hasa katika sekta za biashara, madini na uchumi wa bahari, kilimo, elimu na mawasiliano na teknolojia.