Kenya na Saudia kuimarisha mahusiano

  • | KBC Video
    201 views

    Serikali ya Ufalme wa Saudi Arabia itaimarisha uhusiano wa mabadilishano wa kielimu na Kenya katika juhudi za kuondoa mtazamo hasi unaohusishwa na taifa hilo la Ghuba. Balozi wa Saudi Arabia humu nchini Khalid Abdallah Al-Salman amesema kuwa nchi hiyo inaazimia kushirikiana na Kenya katika sekta za elimu, utafiti na ubunifu kama sehemu ya kuwafanya wakenya kukubali utulivu wa ufalme huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive