Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Ufaransa zatia saini mikataba 11 ya maendeleo na ushirikiano wa kijeshi

  • | Citizen TV
    1,703 views
    Duration: 3:08
    Kenya na Ufaransa zimetia saini mikataba 11 ya makubaliano inayolenga kuleta maendeleo katika sekta za uchukuzi, kilimo na nishati nchini. Baadhi ya makubaliano hayo ni kuboreshwa kwa Bandari ya Mombasa kwa gharama ya shilingi bilioni 104. Tayari vikosi vya kijeshi vya Ufaransa viko nchini baada ya Kenya kuidhinisha ushirikiano wa kijeshi.