- 449 viewsDuration: 1:27Kenya ni mojawapo ya nchi 9 kati ya 11 Barani Afrika zilizounganishwa chini ya mpango wa Sanlam–Allianz. Sanlam Allianz imezindua utambulisho wake mpya, huku Bima ya Jumla, Bima ya Maisha, na Uwekezaji zikifanya kazi kwa uhuru chini ya kundi hilo.