Skip to main content
Skip to main content

Kenya ya beach soccer yajiandaa kwa mechi ya kufuzu AFCON

  • | Citizen TV
    829 views
    Duration: 1:17
    Timu ya Kenya ya soka ya ufukweni imeimarisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya AFCON, katika ufuo wa Buntwani mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi. Kulingana na ratiba ya Shirikisho la Soka Afrika, CAF, Kenya itachuana na Libya Septemba 19, kabla ya kurudiana wiki moja baadaye. Kikosi hicho, ambacho kina wachezaji wengi kutoka Kilifi, kimetaja uzoefu na kuzoeana kwao kama nguzo kuu ya kuandikisha matokeo bora.