6 Aug 2026 7:48 pm | Citizen TV 80 views Duration: 1:41 Timu ya magongo ya Kenya ya vijana wasiozidi miaka 18 imeanza vyema mashindano ya Kombe la Afrika la Vijana kwa ushindi mara mbili katika siku ya kwanza ya mashindano yanayoendelea katika klabu ya Sikh Union.