Skip to main content
Skip to main content

Kenya yafikia medali 23 michezoni barani Afrika

  • | Citizen TV
    151 views
    Duration: 1:03
    Idadi ya medali za kenya katika michezo ya vijana ya afrika imefikia 23 baada ya vijana wa kenya kuongeza medali sita katika kunyanyua uzani, taekwondo na ndondi mjini luanda, angola. Mnyanyuaji uzani amanda linah alifungua akaunti ya medali na fedha mbili na medali ya shaba katika kitengo cha snatch and clean, na kitengo cha jerk, uzani wa kilo 48.