- 2,708 viewsDuration: 1:41Timu ya taifa ya wasichana ya Harambee Starlets imeizaba timu ya the Gambia mabao matatu kwa moja katika mechi ya mkondo wa kwanza ya duru ya mwisho ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Afrika iliyochezwa kwenye uwanja wa Nyayo