Dkt. Fredrick Eyase, mtafiti mkuu katika kituo cha utafiti wa Virusi cha taasisi ya utafiti wa matibabu humu nchini (KEMRI), amesema kuwa maandalizi ya mapema na mawasiliano ni muhimu katika kudhibiti kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa Ebola. Eyase, ambaye alizungumza na runinga ya Channel 1, amesema kuwa serikali iko kwenye njia sahihi katika kuanzisha vituo vya karantini pamoja na kuimarisha uwezo wa wahudumu wa afya na mifumo ya afya katika ufuatiliaji wa virusi hivyo vya ugonjwa huo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive