Skip to main content
Skip to main content

Kenya yapoteza bilioni 2.9, yasitisha uagizaji wa mafuta

  • | Citizen TV
    11,202 views
    Duration: 3:25
    Shilingi bilioni 2.9 zilipotea kutokana na sakata ya kuingizwa nchini kwa mafuta yaliyosababisha kukamatwa kwa maafisa wakuu wa wizara ya petroli na wakurugenzi wa kampuni zinazosohughulikia mafuta nchini. Waziri wa kawi na petroli Opiyo Wandayi pia akiagiza kusitishwa kwa uingizaji wa shehena ya pili ya mafuta hayo nchini. Haya yamejiri huku maafisa wawili wa mamlaka ya kuthibiti bei ya mafuta na petroli EPRA wakiandikisha taarifa na taasisi hiyo pia ikimteua Daktari Joseph Oketch kuwa kaimu mkurugenzi mkuu mpya.