Kenya yazidi kunawiri kwenye vitengo vyote kwenye mashindano ya chelezo Afrika

  • | Citizen TV
    345 views

    Timu ya kenya iliendelea kutawala mashindano ya afrika ya chelezo maarufu rafting huko sagana kwa kushinda mbio za slalom za wanaume na wanawake ambazo zilivutia timu kumi za wanaume na timu nane za wanawake.