Skip to main content
Skip to main content

Kero za muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • | BBC Swahili
    32,050 views
    Duration: 3:00
    Miaka 62 baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, mjadala kuhusu mustakabali wake bado haujakoma. Wapo wanaoamini changamoto ziko kwenye mfumo wa serikali mbili, huku wengine wakisema tatizo si mfumo bali namna umekuwa ukitekelezwa na kusimamiwa. Wewe una maoni gani? Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa hii: - - #bbcswahili #muungano #tanganyika #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw