Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauwaji ya halaiki huko Shakahola dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie imeendelea

  • | Citizen TV
    2,064 views
    Duration: 1:19
    Kesi ya mauwaji ya halaiki huko shakahola dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie imeendelea katika mahakama ya mombasa huku mtaalam wa masuala ya sheria anayewakilisha upande wa mashataka everylne asaala akitoa mwongozo wa kesi hiyo.